KUMBUKIZI: Kigoma May 1912

Hakukuwa na hizo power lines.
Sasa kama hazikuwepo hizo power lines mbona kwenye picha zipo na content ya uzi imekaziwa ni mwaka 1992?wasiwasi wangu hata wewe hujamuelewa mleta mada.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Sasa kama hazikuwepo hizo power lines mbona kwenye picha zipo na content ya uzi imekaziwa ni mwaka 1992?wasiwasi wangu hata wewe hujamuelewa mleta mada.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Mwaka sio 1992 bali 1912 soma vizuri mkuu. Miaka hiyo hata picha zenye rangi hazikuwepo naamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…