Kumbuka za Mzee Aman Thani akielezea alichokiona na yaliomfika

Ameandika kitabu kwa matukio haya! Nimekisoma lkn ni vizuri pia alivofanya hii verbal narration, lkn haijakamilika kama alivoandika kitabuni!
 
kwa historia kama hiyo nani atakuwa tayari kuachia madaraka? Kweli mapinduzi matukufu lazima yalindwe kwa kila nyenzo. Kumbe kuna watu wana mswala mengi ya kujibu hadi mbele ya Mungu.
 
Back
Top Bottom