Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,352 Reaction score 108,471 Jan 13, 2015 #2 'Joni' na Kambarage
englibertm JF-Expert Member Joined May 1, 2009 Posts 9,252 Reaction score 6,209 Jan 13, 2015 Thread starter #3 Umeshawahi Kupanda Kwacha Dar Kwenda Iringa? Enzi hizo kituo Mnazi Mmoja, nauli shilingi elfu nne. Basi linaondoka saa mbili usiku
Umeshawahi Kupanda Kwacha Dar Kwenda Iringa? Enzi hizo kituo Mnazi Mmoja, nauli shilingi elfu nne. Basi linaondoka saa mbili usiku
L Leonard Mwanja Member Joined Jan 8, 2010 Posts 40 Reaction score 3 Jan 14, 2015 #4 Umenikumbusha mbali.sana.Mnazimmoja enzi hizo? Kumbukumbu nzuri sana
P PUNJE JF-Expert Member Joined Jul 30, 2008 Posts 356 Reaction score 180 Jan 14, 2015 #5 Hakika, nimesafiri sana na KWACHA. Je unakumbuka na Skandali za hiyo kampuni! Tumetoka mbali sana. Asnte kwa kunikumbusha ya kale.
Hakika, nimesafiri sana na KWACHA. Je unakumbuka na Skandali za hiyo kampuni! Tumetoka mbali sana. Asnte kwa kunikumbusha ya kale.
Gwangambo JF-Expert Member Joined Jun 30, 2012 Posts 3,637 Reaction score 1,208 Jan 14, 2015 #6 Duuuh! kitambo KWACHA ya kutoka DAR-KYELA, Watu wote wakitoka Dar, ilikuwa lazima waje na mkate na nazi.
Duuuh! kitambo KWACHA ya kutoka DAR-KYELA, Watu wote wakitoka Dar, ilikuwa lazima waje na mkate na nazi.
muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 15,835 Reaction score 14,727 Jan 14, 2015 #7 watu8 said: 'Joni' na Kambarage Click to expand... Mkuu ilikuaje Kambarage akamchenjia Joni ya kwamba hafai kuwa Rais?,alimkoroga kitu gani? Ebu dadavua mkuu....
watu8 said: 'Joni' na Kambarage Click to expand... Mkuu ilikuaje Kambarage akamchenjia Joni ya kwamba hafai kuwa Rais?,alimkoroga kitu gani? Ebu dadavua mkuu....
N Nasolwa JF-Expert Member Joined Jun 12, 2008 Posts 1,827 Reaction score 298 Jan 14, 2015 #8 muhomakilo jr said: Mkuu ilikuaje Kambarage akamchenjia Joni ya kwamba hafai kuwa Rais?,alimkoroga kitu gani? Ebu dadavua mkuu.... Click to expand... Aliuunga mkono hoja ya G 55 ya kuitaka Tanganyika yetu
muhomakilo jr said: Mkuu ilikuaje Kambarage akamchenjia Joni ya kwamba hafai kuwa Rais?,alimkoroga kitu gani? Ebu dadavua mkuu.... Click to expand... Aliuunga mkono hoja ya G 55 ya kuitaka Tanganyika yetu
muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 15,835 Reaction score 14,727 Jan 14, 2015 #9 Nasolwa said: Aliuunga mkono hoja ya G 55 ya kuitaka Tanganyika yetu Click to expand... Asante mkuu...
Nasolwa said: Aliuunga mkono hoja ya G 55 ya kuitaka Tanganyika yetu Click to expand... Asante mkuu...
srinavas JF-Expert Member Joined Jun 5, 2011 Posts 4,270 Reaction score 4,182 Jan 14, 2015 #10 Samahani hii ilikuwa ni mwaka gani?? Hayo ma kwacha
nyabhingi JF-Expert Member Joined Oct 12, 2010 Posts 15,638 Reaction score 20,248 Jan 14, 2015 #11 hapa alikuwa na umri kama wa le mutuz
nzalendo JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 12,701 Reaction score 14,104 Jan 14, 2015 #12 norkim1991 said: Samahani hii ilikuwa ni mwaka gani?? Hayo ma kwacha Click to expand... Miaka ya themanini mpaka tisini mwanzoni.Mmoja wa waliokuwa wakurugenzi ni huyu mzee mwenye Peacock hotel"Mfugale" pia alikuwepo Masasi (R.I.P) na Chalamila (R.I.P).
norkim1991 said: Samahani hii ilikuwa ni mwaka gani?? Hayo ma kwacha Click to expand... Miaka ya themanini mpaka tisini mwanzoni.Mmoja wa waliokuwa wakurugenzi ni huyu mzee mwenye Peacock hotel"Mfugale" pia alikuwepo Masasi (R.I.P) na Chalamila (R.I.P).