englibertm JF-Expert Member Joined May 1, 2009 Posts 9,252 Reaction score 6,211 May 9, 2015 #1 Maalim Seif Sharif Hamad (Makamu wa Kwanza wa Rais - Zanzibar na Katibu Mkuu wa CUF). Hapa ilikuwa mwaka 1963 alipokuwa mwanafunzi katika skuli iliyoitwa King George VI Boys Government Secondary School, ambayo kwa sasa inaitwa Lumumba.
Maalim Seif Sharif Hamad (Makamu wa Kwanza wa Rais - Zanzibar na Katibu Mkuu wa CUF). Hapa ilikuwa mwaka 1963 alipokuwa mwanafunzi katika skuli iliyoitwa King George VI Boys Government Secondary School, ambayo kwa sasa inaitwa Lumumba.
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 May 10, 2015 #2 Zungu la Kinondoni?
M makubazi JF-Expert Member Joined Feb 15, 2013 Posts 2,047 Reaction score 365 May 10, 2015 #3 Amavubi said: Zungu la Kinondoni? Click to expand... Mkuu siyo isipokuwa kidogo kanafanafana kama machina walivo fanana
Amavubi said: Zungu la Kinondoni? Click to expand... Mkuu siyo isipokuwa kidogo kanafanafana kama machina walivo fanana
muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 16,234 Reaction score 15,656 May 10, 2015 #5 Mzee wa sawa sawa?..
M mangatara JF-Expert Member Joined Jul 6, 2012 Posts 14,517 Reaction score 14,169 May 10, 2015 #6 Ama kweli; wakati ukuta....