Kwanza Umesema wanatubagua watu wa bara, papo hapo unataka serikali ya Tanzania ambayo kiuhalisia ni ya Tanganyika (bara) iwapelekee maendeleo watu ambao wanawabagua wabara? Tunajipendekeza kwa lipi hasa? Zanzibar itajengwa na Wazanzibar wenyewe kama wameisahau nchi yao, huo ni ujinga wao wenyewe. Hivi sasa Tanganyika ina mambo mengi ya msingi ya kufanya na si kuhangaika na nchi ambayo wananchi wake muda mwingi wamekaa vibarazani na maskani wakinywa kahawa name kuwasengenya Watanganyika.