utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,675 Jan 30, 2014 #1 Kwetu kawaida tu Attachments 1391098696673.jpg 89.4 KB · Views: 400
SaaMbovu JF-Expert Member Joined Oct 8, 2013 Posts 6,028 Reaction score 5,359 Jan 30, 2014 #2 Hawawezi kujua kila kitu na ndio maana wanakuja kutalii Africa na sehemu nyingine.
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,675 Jan 30, 2014 Thread starter #3 SaaMbovu said: Hawawezi kujua kila kitu na ndio maana wanakuja kutalii Africa na sehemu nyingine. Click to expand... Ni kweli mkuu
SaaMbovu said: Hawawezi kujua kila kitu na ndio maana wanakuja kutalii Africa na sehemu nyingine. Click to expand... Ni kweli mkuu
BRO LEE JF-Expert Member Joined Dec 25, 2011 Posts 837 Reaction score 628 Jan 30, 2014 #4 "Ugumu wa maisha kipimo cha maarifa" wafugaji wa kabila fulani walikuwa wanayatumia toka zamani wao waliyapenda kwa sababu wakiiba mifugo ilikuwa si rahisi kufuatilia nyayo haijulikani mbele wala nyuma ni wapi, sio haya ya sasa.
"Ugumu wa maisha kipimo cha maarifa" wafugaji wa kabila fulani walikuwa wanayatumia toka zamani wao waliyapenda kwa sababu wakiiba mifugo ilikuwa si rahisi kufuatilia nyayo haijulikani mbele wala nyuma ni wapi, sio haya ya sasa.
kadakokigondile JF-Expert Member Joined May 17, 2013 Posts 1,872 Reaction score 635 Jan 30, 2014 #5 SaaMbovu said: Hawawezi kujua kila kitu na ndio maana wanakuja kutalii Africa na sehemu nyingine. Click to expand... Sio kila kitu wazungu wao ndio wenye kujua, yapo mengi majinga ya kutupa
SaaMbovu said: Hawawezi kujua kila kitu na ndio maana wanakuja kutalii Africa na sehemu nyingine. Click to expand... Sio kila kitu wazungu wao ndio wenye kujua, yapo mengi majinga ya kutupa
M Mokoyo JF-Expert Member Joined Mar 2, 2010 Posts 15,145 Reaction score 5,574 Jan 30, 2014 #6 indigenous knowledge