Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,591
- 17,561
Mabaharia wa siku hizi mnatia shaka saaana. Mnaogopa mpaka Maji ya kwenye swimming pool??!Ungechukua namba mkuu umetuangusha mabaharia
Wamefanya nn tena wewe hondo hondo mzee wa msituni hukoWanaume wa dar bhana
Sent from my iPhone using Tapatalk
Mzamie tu kiongozi mtajuana mbele kwa mbeleMabaharia wa siku hizi mnatia shaka saaana. Mnaogopa mpaka Maji ya kwenye swimming pool??!
Baharia gani umeweka picha ya mrembo afu jina tata?!?!?
Kidogo nkuzamie pm
Sent from my Huawei Mate X using Tapatalk
Kua serious aiseeeee ooh
Hapo mkuu ingebidi nisiingie kwa ofisi au??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kapandaje
Sasa ulikubalije kulipiwa mototo wa kiume?Angalia kijana ndiomana wanakuiteni wanaume wa Daa.Kwani nauli shillings ngapi?Kiongozi nilkua nimetupia vitu adimu sana, sio kitoto
Tatizo mimi sikuomba msaada bali yeye bi dada aliamua tu, nikamshukuru fresh
Sasa mkuu mdada kama kaamua kutenda wema nikatae??