Mtemikwila
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 1,389
- 1,067
hahahahahaa, subiri aje kwanza
Wazee Leo Nimepanda Daladala nikakaa siti ya Nyuma nikakutana na Mdada hata simjui..Muda wa Nauli Kalipa hela kasema Kata ya Wawili Mimi na Huyu Kaka.
Imagine mpaka nashuka Namanga hatujaongea Na Nikamuaga Fresh.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mimi nimejari sana wema wake kwangu, yeye ni mtu safiUngechukua namba mkuu umetuangusha mabaharia
Kiongozi nilkua nimetupia vitu adimu sana, sio kitoto
Nimekuja kutoa ushuhuda wa kwamba dunia bado ina watu wema kiongozihahahahahaa, subiri aje kwanza
Nili mshukuru tu fresh
Aaah hata wewe ni mwema kiongozi??? Maana kua mwema sio rahisi kiivyoTupo wengi sana
Hatupendagi makuu
Ndiyo ungekuwa unanijua ungethibitisha bila shakaAaah hata wewe ni mwema kiongozi??? Maana kua mwema sio rahisi kiivyo
Umefeli..Wazee Leo Nimepanda Daladala nikakaa siti ya Nyuma nikakutana na Mdada hata simjui..Muda wa Nauli Kalipa hela kasema Kata ya Wawili Mimi na Huyu Kaka.
Imagine mpaka nashuka Namanga hatujaongea Na Nikamuaga Fresh.
Sent using Jamii Forums mobile app