Kumbe wanawake wanahitaj assurance!!


well said...umemaliza.
 
Kwa hiyo unashauri nini kulingana na maisha ya sasa waendelee kupata uhakika wa kesho kwa mwanaume au watafute wa kwao?
Kama wamepata wenza,basi sisi wenza wao tuwajengee uhakika wa maisha na pia wao si ubaya kama watajiongeza kwa kadri ya uwezo wao na wetu kujiongeza,lakini ni muhimu sisi wenzi wao kuwawekea uhakika ili kuwe na pozo la roho zao kwani wao ni pozo kwetu pia.
 
Behind every succesfu man there is a woman...that woman is ur mother not wife.

Wife anakukuta tayari foundation.ya success.ilishawekwa bwana.
 
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji114][emoji114][emoji114][emoji114]
 

Sio kweli. Wale makapuku wanamchukua binti mkali kwa kucheza na saikolojia yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…