Kumbe walipigwa 6 na Namungo?

tuanzie hapa kwanza kisha tuendelee

weka rank za caf kati ya namungo na yenu
 
- 1st de agosto watashinda goli nyingi dhidi ya simba sc. (Kabla ya mechi, alisikika shabiki wa utopolo.
-1st de agosto, ni timu mbovu, alisikika shabiki wa utopolo(baada ya simba sc kushida 3 kwa 1).
Utopolo kubalini kujifunza kwa Simba sc ili nanyi mfanye vizuri kimataifa.
 
Hawa ni kama kenge tu,hayawezi kuwa na akili
 
DALILI NYINGINE YA UCHAWI NI KUISHABIKIA YANGA[emoji881][emoji881][emoji881][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Wamesahau kama namungo walicheza chamanzi mechi zote mbili na mechi ilikuwa na figisu nyingi mana wachezaji 9 wa 1 de agosto waliambiwa wana corona.
 
Katika rank za CAF, Namungo ipo juu kuliko Yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…