Kumbe unga noma ki'hivi !

Judgment

Member
Nov 1, 2011
45
13
Mateja wawili wako juu gorofani wakiendeleza sniff, cocktail na kujidunga huku wakiwa wanaingalia man'dhari (city view) ya jiji la Mwanza kw chini wao wakiwa juu issue ikawa :-
Teja 1 :- Nambie askari wangu unauckiliziaje mzg wa leo? Uko poa au wenga?
Teja 2 :- Mazee k2 kipo shule! Au vipi bwana, ki2 mzuka mjeshi wng, alafu huku juu, hamna wenga cjui Pongo cjui nani, stimu hairuki shwari tu!
Teja 1 : Sasa mazee unajua mi plani yng nna mahesabu makali sn
Teja 2:- Mahesabu gn mzee mwenyewe?
Teja 1 :- Si nataka nikanunue haka ka'jiji ka'mwanza, alafu hv kakiwa kanauzwa kanaweza kua sh'ngapi ?
Kilichofata Teja 2 akamshushia mwenzie bonge ya kofi ! Kofi la ukwl
Teja 1 : Sasa unanipigia nini? Yani mi nakuuliza bei unanipiga!
Teja 2 :- Unauliza bei kwani umeambiwa haka ka'Mwanza mi nakauza! Haka mi ckauzi lbd nikipata matatizo ndy ntafikiria!
 
Back
Top Bottom