Kumbe ukiwa na fedha sana serikali haikugusi..

Joined
Feb 21, 2015
Posts
28
Reaction score
41
Huyu Chenge mbona ana dharau hivi

Nitoe sikitiko langu waziwazi..

Nchi hii tumefika pahala tumechokana, tumedharauliana, tumegoma kuheshimiana. haiwezekani Mwenzetu, Mtanzania mwenzetu huyu, mtu mmoja atunyee, atutusi, tunyamanze kimya kama mazuzu. Mtu kashiba fedha za wizi, alidiriki kusema fedha zetu ni vijisenti, leo anasema yeye ni joka mwenye makengeza, msakafedha kwa wananchi wake.

Embu wajitokeze hao wananchi anaodai ndio anaokwiba fedha kwa ajili yao, watuambie hayo majitapo ya mwizi asiyekamatwa yamewafaa nini..!
 
Hahaaa uliza mo dewji anachowafanyia serikali huko lindi...BG wanashindwa kuanza uwekezaji kwa kuwa jamaa anamiliki mashamba kihalali kwenye eneo la mradi na kagoma kulitoa...muhongo akataka kumshawishi JK a revoke ownership BG wakagoma maana itawa irritate investors...serikali inaogopa sana wenye pesa
 
Jamani hii nchi ndivyo ilivyo binafsi naweza kusema hawa watu aina ya change washa tupima akili wakaona watanzania wengi bado tumefunikwa blanket maana kitendo cha kutamka maneno kama hayo still akienda kuzuru jumbo lake wananchi wanampokea kama shujaa tutegemee nini?nacho taka kushauli watanzania tubadilike tuache ushabik Wa vyama tusmamie haki.afu naomba msaada nijinsi gani yakuwasilisha maada maana sielewi nianzie wapi kani nahamu sana nakuwajuza Wa tz jins tunavyo ibiwa hii nchi hususani maswala ya migodi,naombeni msaada wenu wana JF.
 
mie mwenyewe natama niwe fisadi kama chenge mkinishtaki naenda kuweka zuio mahakamani, raha sana ukiwa na pesa serikali unaiweka mfukoni
 
Jamani hii nchi ndivyo ilivyo binafsi naweza kusema hawa watu aina ya change washa tupima akili wakaona watanzania wengi bado tumefunikwa blanket maana kitendo cha kutamka maneno kama hayo still akienda kuzuru jumbo lake wananchi wanampokea kama shujaa tutegemee nini?nacho taka kushauli watanzania tubadilike tuache ushabik Wa vyama tusmamie haki.afu naomba msaada nijinsi gani yakuwasilisha maada maana sielewi nianzie wapi kani nahamu sana nakuwajuza Wa tz jins tunavyo ibiwa hii nchi hususani maswala ya migodi,naombeni msaada wenu wana JF.

Hapa JF ndipo hapahapa tunapoweka Mavituuuuuuuuuzi kwa Uwazi zaidi. Kama unayo hayo mavituuuuuzi yalete hapa hapa kaka huko kwingine utaambiwa ni karatasi za kufungia maandazi au ni uongo na uzushi wenye mchanganyiko na wivu. Lete basi hapahapa tunakusubiri.
 
Jamani hii nchi ndivyo ilivyo binafsi naweza kusema hawa watu aina ya change washa tupima akili wakaona watanzania wengi bado tumefunikwa blanket maana kitendo cha kutamka maneno kama hayo still akienda kuzuru jumbo lake wananchi wanampokea kama shujaa tutegemee nini?nacho taka kushauli watanzania tubadilike tuache ushabik Wa vyama tusmamie haki.afu naomba msaada nijinsi gani yakuwasilisha maada maana sielewi nianzie wapi kani nahamu sana nakuwajuza Wa tz jins tunavyo ibiwa hii nchi hususani maswala ya migodi,naombeni msaada wenu wana JF.

Anzia hapohapo mkuu...
 
Hahaaa uliza mo dewji anachowafanyia serikali huko lindi...BG wanashindwa kuanza uwekezaji kwa kuwa jamaa anamiliki mashamba kihalali kwenye eneo la mradi na kagoma kulitoa...muhongo akataka kumshawishi JK a revoke ownership BG wakagoma maana itawa irritate investors...serikali inaogopa sana wenye pesa

BG ndo nani hao?
 
Huyu Chenge mbona ana dharau hivi

Nitoe sikitiko langu waziwazi..

Nchi hii tumefika pahala tumechokana, tumedharauliana, tumegoma kuheshimiana. haiwezekani Mwenzetu, Mtanzania mwenzetu huyu, mtu mmoja atunyee, atutusi, tunyamanze kimya kama mazuzu. Mtu kashiba fedha za wizi, alidiriki kusema fedha zetu ni vijisenti, leo anasema yeye ni joka mwenye makengeza, msakafedha kwa wananchi wake.

Embu wajitokeze hao wananchi anaodai ndio anaokwiba fedha kwa ajili yao, watuambie hayo majitapo ya mwizi asiyekamatwa yamewafaa nini..!

Siyo kama, sema SISI NI MAZUZU TAYARI, mtu mmoja ni wa kuwa na jeuri namna ile kwa watu milioni 45?
 
Yani huyu mbunge siku nikija kutana naye face to fece,hahahha lazima nitimue mbio maana analijuso linatisha na liroho lake litakuwa ivyo ivyo.Watanganyika tuamke sasa.
 
Chenge ---- tu mbona
Bora hata nikimwita ---- nafarijika nashusha kidogo hasira
 
Hapana labda Ungesema, Kumbe Ukiwa Unakura na Wenye mamalaka Hawakutupi kamwe.Huyu Jamaa anawajua Viongozi wetu wanavyopiga madeal yote na yeye ndiye Mastermind wa deal Kubwa Kubwa.. Sasa ataguzwaje ndg??
 
Back
Top Bottom