Mzuqa wanaJamvi
Kuna aliyekuwa rafiki yangu nilimkopesha kama shilingi 1.6 M tarehe 11 mwezi uliopita. Akaniahidi mwisho wa mwezi wa pili atanirudishia. Sikumpa online ni kosa kubwa nilifanya.
Sasa toka mwanzo wa mwezi huu ananizungusha. Sasa kilichoniumiza zaidi jana kaniambia nisimsumbue na kuniblock kote kwaanzia WhatsApp. Nilishikwa na ghazab ya aina yake yani adrenaline ilipanda juu sana. Nikataka kulipiza kisasi usiku.
Bahati nzuri nikapigiwa na rafiki yangu mwengine Simu na nikasimulia. Nikapewa ushauri. Moyo umetulia sasa nimeamua kupotezea ila bado na maumivu moyoni. Nilitaka nimfanyie kitu mbaya sana na ningefungwa.
Kabisaa mkuuKweli kbs, tena bora nimkopeshe mzazi wangu kwsbb najua sitalipwa na wala sitadai ila zitarudi kivingine kuliko rafiki. Yaan hawalipagi na urafiki ndio unafika mwisho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni Dume aiseeekwa jinsi ulivyoandika tu inaonekana uliemkopesha ni mwanamke ndio maana umekuwa mpole. uhai ni muhimu kuliko hela
Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa yaani kuishi kote kwa mabeberu bado una mind hata hiyo 1.6 M urudishiwe?Mzuqa wanaJamvi
Kuna aliyekuwa rafiki yangu nilimkopesha kama shilingi 1.6 M tarehe 11 mwezi uliopita. Akaniahidi mwisho wa mwezi wa pili atanirudishia. Sikumpa online ni kosa kubwa nilifanya.
Sasa toka mwanzo wa mwezi huu ananizungusha. Sasa kilichoniumiza zaidi jana kaniambia nisimsumbue na kuniblock kote kwaanzia WhatsApp. Nilishikwa na ghazab ya aina yake yani adrenaline ilipanda juu sana. Nikataka kulipiza kisasi usiku.
Bahati nzuri nikapigiwa na rafiki yangu mwengine Simu na nikasimulia. Nikapewa ushauri. Moyo umetulia sasa nimeamua kupotezea ila bado na maumivu moyoni. Nilitaka nimfanyie kitu mbaya sana na ningefungwa.
Acha porojo wewee fanya kaziWe jamaa yaani kuishi kote kwa mabeberu bado una mind hata hiyo 1.6 M urudishiwe?
ฤถama umeishiwa pesa rudi tu bongo kuna viwanda vingi tu vya wahindi kuliko kukaa uko kwa mabeberuAcha porojo wewee fanya kazi
Dogo nirudi bongo kufanya nini? Kwanza laifu linaniendea vizuri sana sasa hivi. Nimeshatoka kwenye shared apartment naishi kwenye my own apartment na my own address.ฤถama umeishiwa pesa rudi tu bongo kuna viwanda vingi tu vya wahindi kuliko kukaa uko kwa mabeberu
Basi samehe hiyo pesa tuoneDogo nirudi bongo kufanya nini? Kwanza laifu linaniendea vizuri sana sasa hivi. Nimeshatoka kwenye shared apartment naishi kwenye my own apartment na my own address.
Siongeagi saaanaaa. Cheq hapo chini maamaee
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1047993
View attachment 1047994View attachment 1047995