The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,265
- 20,526
Kutoka ndani ya moyo wangu nilishaapa kabisa siwezi kukopesha rafiki zaidi ya laki moja. Maana yaliyowahi nitakuta yalinipa fundisho kubwa sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukran kwa ushauriPole sana mkuu, Mungu atakusaidia wala usihukumu kwa kulipiza kusasi ni Dhambi hizo mkuu,
Mungu atakufungulia riziki & unaweza kupata zaidi ya hiyo pesa.
Sent from my GT-N7000 using Tapatalk
Hahaha mkuuPunguza hasira Kijana what is 1.6m utafungwa uache mke kitaa
Wee jamaaAtakuwa freemason
Bukoba
Mzuqa wanaJamvi
Kuna aliyekuwa rafiki yangu nilimkopesha kama shilingi 1.6 M tarehe 11 mwezi uliopita. Akaniahidi mwisho wa mwezi wa pili atanirudishia. Sikumpa online ni kosa kubwa nilifanya.
Sasa toka mwanzo wa mwezi huu ananizungusha. Sasa kilichoniumiza zaidi jana kaniambia nisimsumbue na kuniblock kote kwaanzia WhatsApp. Nilishikwa na ghazab ya aina yake yani adrenaline ilipanda juu sana. Nikataka kulipiza kisasi usiku.
Bahati nzuri nikapigiwa na rafiki yangu mwengine Simu na nikasimulia. Nikapewa ushauri. Moyo umetulia sasa nimeamua kupotezea ila bado na maumivu moyoni. Nilitaka nimfanyie kitu mbaya sana na ningefungwa.
Kabisa yanii,kudai mtu kuna kera.... tukopeshe kile kiasi ambacho hakitotuumiza hata wasiporudishaa.Kutoka ndani ya moyo wangu nilishaapa kabisa siwezi kukopesha rafiki zaidi ya laki moja. Maana yaliyowahi nitakuta yalinipa fundisho kubwa sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani inakera sana unayemdai kutopokea simu au kutojibu SMS zako na mbaya zaidi ku-block simu yako! Kwa mtu muungwana ni afadhali apokee simu na atoe ahadi za mbele na akiri kuwa amekwama. Mimi binafsi hii hainipi shida; Imenitokea juzi hali kama yako, nilitaka kufanya maamuzi mabaya (maamuzi yasiyo athiri mwili); nashukuru wife alisaidia kushusha gadhabu zangu.Mzuqa wanaJamvi
Kuna aliyekuwa rafiki yangu nilimkopesha kama shilingi 1.6 M tarehe 11 mwezi uliopita. Akaniahidi mwisho wa mwezi wa pili atanirudishia. Sikumpa online ni kosa kubwa nilifanya.
Sasa toka mwanzo wa mwezi huu ananizungusha. Sasa kilichoniumiza zaidi jana kaniambia nisimsumbue na kuniblock kote kwaanzia WhatsApp. Nilishikwa na ghazab ya aina yake yani adrenaline ilipanda juu sana. Nikataka kulipiza kisasi usiku.
Bahati nzuri nikapigiwa na rafiki yangu mwengine Simu na nikasimulia. Nikapewa ushauri. Moyo umetulia sasa nimeamua kupotezea ila bado na maumivu moyoni. Nilitaka nimfanyie kitu mbaya sana na ningefungwa.
Kweli kbs, tena bora nimkopeshe mzazi wangu kwsbb najua sitalipwa na wala sitadai ila zitarudi kivingine kuliko rafiki. Yaan hawalipagi na urafiki ndio unafika mwisho.Kabisa yanii,kudai mtu kuna kera.... tukopeshe kile kiasi ambacho hakitotuumiza hata wasiporudishaa.