Kumbe tatizo ni kumpoteza Mond?

IKIRIRI

JF-Expert Member
Jan 14, 2018
2,734
3,018
Kauliza Salaam meneja wa Diamond!

Pia kapost picha za Shilawadu. Ni kama ana-show ni wazima wa afya.

Na RC yuko na dancers anayetuhumiwa kufanya vurugu hadi kuwavunja mikono. Am not sure km wamechukua RB au form ya PF3 police.

My take: Kuna kitu kinaendelea mafahari wanapigana. Tutajua mwisho wake.
 
wote wapuuzi hao ruge na bashite acha wauane wote wapo kwa maslahi ya matumbo yao na ccm only
 
Makonda amshukuru samwel sitta huenda na yeye angekuwa mmoja wa madancer wa mond akinengua jukwaani
 
Back
Top Bottom