Kumbe ni kweli si wote wanaovaa makoti meupe ni madokta!wengine ni wauza nyama buchan

white wizard

JF-Expert Member
May 18, 2011
8,315
13,281
huu,msemo leo jana ndio nimeona una ukweli! Ktk eneo la mbagala kuna dispensali moja kulikuwa na kijana mmoja anajifanya ni dr tena ana malingo kweli,ukimkuta kazini utadhani dr bingwa!na watu walikuwa wana lalamika sana juu ya utendaji kazi wake,hasa ku over dose wagonjwa!nashangaa kumuona kwenye tv yuko chini ya ulinzi wa maofisa wa wizara ya afya,anaulizwa parasite wa malaria anaitwaje hamjui!hii c hatari!mihuri kibao ya kuonyesha m2u hana virus vya HIV,wakati pale hawatoi huduma ya upimaji!mwenye akili atakuwa amesha tafakari.hivi hii sekta ya afya haina mwenyewe jamani?
 
Back
Top Bottom