Kumbe ni kweli huyo ni Mnyarwanda kabisa anaeongoza vyuo vikuu Tanzania

Ruzibiza
Mbona matusi tena ndugu yangu.
Kuwa mnyarwanda siyo tusi na wala siyo jinai.
Jinai ni kuukana uraia wako, jinai ni kutaka kushiriki bunge katika nchi ya kigeni.
Kunitukana mimi hakusaidii kitu.
Nimekwambia namfahamu sana Chaku kuliko wewe labda kama wewe ndiye Chaku mwenyewe anayejibizana nami. Hapa Bushangaro, Karagwe siyo kwenu. "Kwenu" ulisema ni Ngara. Rector wa Ntungamo Pre-seminary amefika mpaka kijiji ulichodai unazaliwa wakasema siyo kwenu bali ulikuja na wazazi kupalilia magumu na vibarua, wakakuacha na kurudi Rwanda. Ukalelewa na masista na baadaye kuingia seminary ya Katoke.

Kanisa lisingeweza kukuruhusu kuendelea na upadre ukiwa umedanganya kuhusu historia yako hata kama kanisa halina mipaka ya kisiasa. Unabishi nini wakati wazazi wako wameishafika kutoka Rwanda na kukutembelea mara mbili?

Leo unakana Unyarwanda, kesho ukipewa cheo na Kagame utakana Utanzania kama walivyofanya wenzako akina Patrick.
 
Ruzibiza punguza jazba, jibu hoja na ama tetea ndugu yako kwa hoja na ama lugha ya kiungwana tu, after-all tuachie Operation Kimbunga ifanye kazi yake, haionei mtu, huna haja ya kuumwa kichwa kwa ajili ya Chakushemeire, kama ni Mtz atabaki Mtz, na kama ni Kagame, atabaki Kagame.....relax big boy......penye bluu pia panahusika
 
Waanze na Hussen Bashe ambaye NEC ya CCM ili prove kuw ni msomalia...
 

Kwa uzoefu wangu mdogo hapa JF ikiwa pamoja na michango kadhaa iliyokuwa ikitolewa wakati wa "High tension" ya Rwanda na TZ, uzoefu wa kuishi na watu hawa miaka mingi ughaibuni+historia ya matamshi ya viongozi wa jirani yetu, lugha hii ni nadra sana kutumiwa na mtanzania "pure" kwenye Jukwaa hili la JF. Bila shaka mwenyewe anajijua uhalisia wake. Aghalabu atakuwa ana uhusiano japo kidogo wa huko kama siyo wote.
 

Nadhani information za msingi ambazo zingeongezewa labda alisoma shule ya msingi wapi maana utoaji wa vyeti vya kuzaliwa hapa nchini una utata kwa kuwa mtu unaweza kuwa umezaliwa Shinyanga lakini ajabu kama cheti utakiombea Dodoma ili akipate kiurahisi wengi hujifanya wamezaliwa Dodoma hivyo kwa mtaji huu hata mgeni anaweza kutumia mbinu hii, by the way kwa sasa inabidi tuamini maelezo ya genekai kwamba amezaliwa huko Nyakaiga, Bush angle
 
Last edited by a moderator:

Mawazo yako mazuri ila kuna sehemu tulijikwaa kwani miaka ya nyuma ilikuwa ukiingia sehemu lazima upige ripoti kwenye uongozi wa mtaa at that time balozi wa nyumba kumi ukijitambulisha wewe ni na nani na shughuli zako ni zipi lakini siku hizi naweza toka huku Ihayabuyaba kijijini na mihela yangu nikatimba Dar na kutafuta dalali na kuanza kutafuta nyumba nikipata nahamia na jamii ya pale inaamini mie ni Mtz kisa naongea kiswahili (mpaka 2005 kwenye ofisi za kata kulikuwa kuna vitambulisho vya ukaazi ambavyo ilitakiwa kila mtu anapohamia eneo flani awe nacho lakini kwa kuwa serikali ilipuuzia matokeo ndio haya inakuwa sintofahamu na ukweli mazoezi kama haya huwakumba watz pia hasa wale wenye muonekano wa sura za Kitutsi.

Hapa information ya maana ni shule ya msingi alisoma wapi na ndio itatoa picha halisi ya kisa chake kwani by assumption kabla ya kuanza kumfuatilia ataonekana amezaliwa Tanzania lakini kwa information za seminary inakuwa ngumu na ndio maana hata mamlaka ya vitambulisho au hata unapotaka kuomba cheti cha kuzaliwa kama huna kadi ya kliniki au cheti cha ubatizo unaambiwa ulete cheti cha darasa la saba wakiamini kwa kuwa shule ya msingi umesoma nchini kuna uwezekano ukawa mzawa wa nchini
 
Wanaomjua waseme ni kijiji alichotoka though kuna mdau amesema amesoma Nyakakika Primary School, kwa kijijini mtu ni rahisi kumgundua katoka wapi kwa kumuuliza maswali mawili matatu maana mie mzururaji nilishawahi fika maeneo hayo sikukaa sana kama miezi 8 nikitokea Kayanga kuna watu nilikuwa nawafahamu kuanzia maeneo ya Ahakishaka, Nyakaiga, Kijumbura, Kafunjo mpaka Chamchuzi tulipokuwa tunanunua Primus, sasa kama amezaliwa huko ni easy kumjua maana ukitaja jina watu wa huko wanamjua.

Mmenikumbusha mbali sana nilikuwa nalala guest house hapo Nyakaiga maarufu kama Kwa buguzi kwa shilingi 500 tu huku naangalia soko la Nyakaiga nadhani lilikuwa ni Jumatano
 
Inasikitisha jinsi watanzania walivyowabaguzi na wanafiki. Hivi ni kosa mtu kuwa nchi ya ugenini?

Penya penya mipaka uingie nchi za Watu bila taarifa ndio utajua na nchi zingine ni wanafiki au wabaguzi? Utakua lini wewe STUKA
 
hivi mie ndio sijajua au inakuwaje,kwani mtu unapokuwa chuo kikuu ni haramu kuongoza serikali ya wanafunzi kama sio raia wa nchi ambako chuo kipo?
nadhani tatizo liwe uhamiaji haramu na sio nafasi ya uongozi wa chuo
 

unazungumza na nani?I don't care who u think I am....I am in fact who i am....mmezoea umbea umbea kusengenyana nk...ndo maana nimeonekana kuutamka maneno makali kidogo hii tabia ya ku- snitch watu na kuwapakazia mambo yasiyo ya kweli inakera sana... na si jinsi ya ku-address issue inanifanya kuwa na asili ya kule bali asili inabaki kuwa asili no matter what....nasema hivo kwa kuwa namfaham chakushemeire zaidi ya mtu yeyote anaweza kufikiria... NI MTANZANIA hata kama hafikirii ki-tanzania hilo halimvui utz.....
 
Hatari hawa jamaa wanapenda ukuu na madaraka kwenye damu. Hapo tayari ni rais wa wanafunzi wakati allegiance ni kwa kagame. kwa ufala wetu si muda mrefu wataingia magogoni.
 
wakwanza lage aikifatiwa na mungai wote waondolewe
 
Aisee..imekaa vizuri sana... Halafu wakiingia kwenye system wanabebana hadi inatia kinyaa. Hakika tanzania ni shamba la bibi, hali hii lazima ikome.
 
Unatushawishi kwa sababu Chakushemeire alizaliwa Rwanda na kukulia Tanzania, basi ni mtanzania kama ulivyozaliwa Ujerumani-----mtoa "utumbo" anadai chakushemeire ni mtu wa ngara so haiwezekani mama akasafiri kwenda kujifungua hospital ya mkoa BUKOBA huu ni upungufu wa utashi (common sense) au kutokuwa na utashi kabisa (nonsense)
kama kila mtu atakuwa anakurupuka na hisia zake tunaanza kuzijadili tutapata Muda wa kujadili mambo ya maana?hata hivo kama si ushabiki na utamaduni wa hovyo hii thread isingepata mchangiaji hata moja maana haina mvuto kwa watu wenye timam.....coz alichoandika huyu mtu ninaweza kukiandika pia juu yako na kwakuwa walowengi wana muda wakupoteza basi watajadili,tatizo linaanzia pale tunaposhindwa kutambua uzi wa kujadili na ule wa kupotezea....unapojiunga JF huulizwi kama una akili timam na ndo maana wengi tunao tunakalia jamvi moja but in real sense hatupaswi kukalia jamvi moja....FYI hii siyo facebook kuna msemo mmoja wa kijerumani "

i ist nur verantwortlich für das, was ich tue und nicht für das, was Sie denken, was ich tun kann"

 
Nahofia sana mateso wanayopata watz wenzetu wanaopelekwa ugenini kwa kuambiwa sio raia kwasababu tu ya chuki na tofauti za kisiasa! Ni manyanyaso ambayo huwezi kueleza hapa!
Wanaotimuliwa sio raia. Kwa nini unamwaga machozi ya mamba mkuu? Kama wako raia wachache walioathirika bila shaka haki itatendeka, lakini zoezi ni halali na linatakiwa kuwa la kudumu.
 
tataizo hapa unaongea lkn si kute wewe mwenyewe ni mhamiaji haramu....we have alot of work ahead of us,lkn tutawabaini tu
 

mimi siyo chakushemeire mimi ni Ruzibiza kama unavoona profile yangu,alaf nikuombe kitu mimi siyo ndugu yako tunacho share ni ubinadamu tu na hilo haliwezi kukufanya ndugu yangu...kama ubinadam ndiyo undugu usingekaa na kumpaka matope ndugu yako Chakushemeire kwa kushindwa kupambana naye kifikra,mtazamo,msimamo na hata kwa nafasi yake alonayo a zaidi ya yote influence alonayo.....
kwanza, hakuna kitu kama Ntungamo pre-seminary, na kama unamaanisha iliyokuwa seminari ndogo ya Ntungamo-Ngara,bwana Chakushemeire hajasoma hapo kwa kuwa wanafunzi wa mwisho kujiunga na hiyo seminary ni wale waloingia mwaka 1997 na yeye chakushemeire aliingia pre-form one mwaka 1999 seminari ya Katoke. so hizo siyo hoja bali ni "utumbo"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…