Kumbe ndo majina yenu eee!

duh, hii nimeipenda sana, yani ukiona unatoa thread watu hawacomment, unaanza kujijibisha mwenyewe comment ka 10 ivi kuvuta hisia za watu

ngoja nimuongezee na mm.Huenda hajui ile sentiment isemayo what matters z d content not the container!
 
duh, hii nimeipenda sana, yani ukiona unatoa thread watu hawacomment, unaanza kujijibisha mwenyewe comment ka 10 ivi kuvuta hisia za watu

Umeona eee.Ndo komesha yao hii.
 
ngoja nimuongezee na mm.Huenda hajui ile sentiment isemayo what matters z d content not the container!

Ni kweli kabisa,mi mwenyewe lengo langu kufurahia volume.Na ninaona volume ya container yangu inazidi kuwa kubwa.Yeeeth yeeeth,endeleeni kucoment jamani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…