Mwal Nyerere Aliwasoma Watanz Wa Wakati Ule Ambao Ni Babu Zetu Kwa Sasa Akawaona Wamejawa Na Uoga Mno Dhidi Ya Mtawala Mzungu.
Akaona Akiwambia Washike Mapanga, Marungu, Pinde Na Mishale Ili Wauondoe Ukoloni Hakuna Hata Mmoja Atamuunga Mkono. Akaamua Kutumia Unaharakati (mazungumzo) Kudai Uhuru Toka Kwa Mkoloni Huyo.
Uoga huo ulirithishwa toka kizazi hicho hadi kilichofuata na mpaka cha sasa.
Watanz Ni Waoga Mno Kudai Haki Zetu.
Ni Waoga Mno Kukemea Viongozi Wetu Wanapo Kanyaga Katiba.
Ndiyo Sabb Wengine Wanatamka Hadharani Kuwa Wao Ni Miungu, Maana Tunawaogopa Mno Badala Ya Kuwaheshimu.
Machinga Kabeba Nguo Mkononi Kule Mwanza Anapigwa Mbele Ya Kamera Kana Kwamba Ametaka Kupindua Nchi. Watanzania Kimyaa! Kimya Cha Mbwa Koko.
Watu Wanakufa Kwa Njaa Tunaambiwa Tusitamke Njaa, Halafu Tunatii. Tulikatazwa Kutaja Faru John Hadi Leo Mafaili Ya Ripoti Yake Yanaozea Kwa Waziri Mkuu.
Hii Ndiyo Tanzania Ya Watanzania.
Mwal Nyerere Akaona Isiwe Tabu, Akaamua Kutowahusisha Waoga Kudai Uhuru