Israel wanautaratibu mzuri sana, ukishamaliza elimu ya chini kabla ya kwenda elimu ya juu, unajiunga jeshini kwa mafunzo na kuna muda maalum unatumika ukimaliza unaendelea na elimu ya juu. ukitaka unaweza tena kurudi jeshini kuendelea na jeshi ama ukaendelea na mambo yako. Ndiko tulikotoa wazo la JKT.