shost umeona eenh, me kila siku navizia azas wacoment ndipo nielewe kisa cha mtambuzi,sasa leo naona kiulainiii nimempata.B2T..me naona kina mama wanaona mengi kwenye ndoa hasa milima sasa hua anaasume mwanae kama ataweza mudu na atapata mouo wa kukabiliana na yaliyomo humo ndani ya ndoa ukichanganya na huruma za wanawake hana la kusema zaidi ya kulia tu,ila Mtambuzi sometime tunalia kwa furaha au upweke wa kuondokewa na binti c mchezo ujue hapa ndipo mama anatamani arudishe hata mahari.
hahaha cna uhakika kama tunaongea lugha moja , ntathibitisha cku ukitoa hiyo ndefu inikonge kumtima ,mtambuzi atakua shahidi kama itakonga or not.karibu lunch bt nimepewa offer