kimsboy JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 11,189 Reaction score 24,610 Mar 13, 2026 #1 Hyo ndege ilodondoka na kuua wanamgambo 6 wa kimarekani ilitunguliwa na kombora la wanaharakati wanaoungwa mkono na Iran Na walitumia drone mpya za Iran ambazo zina shape ya kombora la kutungulia ndege Halafu wanatudanganya eti ni hitilafu ya anga matapeli hawa Wanamgambo 6 wamekufa hapo hapo hope now wapo kuzimu huko kwa kosa la kufa kwa ajili ya taifa la hovyo la Isra-hell
Hyo ndege ilodondoka na kuua wanamgambo 6 wa kimarekani ilitunguliwa na kombora la wanaharakati wanaoungwa mkono na Iran Na walitumia drone mpya za Iran ambazo zina shape ya kombora la kutungulia ndege Halafu wanatudanganya eti ni hitilafu ya anga matapeli hawa Wanamgambo 6 wamekufa hapo hapo hope now wapo kuzimu huko kwa kosa la kufa kwa ajili ya taifa la hovyo la Isra-hell
Bwana Utam JF-Expert Member Joined Feb 15, 2016 Posts 20,309 Reaction score 37,823 Mar 13, 2026 #2 Waache wadanganye tu ila maadam wamekufa basi habari njema
Killa Cam JF-Expert Member Joined Jun 12, 2022 Posts 2,930 Reaction score 8,205 Mar 13, 2026 #3 Marekani haiwezi kusema ukweli kama inapigwa kichapo cha Kamanda Sirro(mbwa koko) kama Mandonga mtu kazi hata apigwe kichapo vipi atatafuta la kujitetea tu🤣🤣
Marekani haiwezi kusema ukweli kama inapigwa kichapo cha Kamanda Sirro(mbwa koko) kama Mandonga mtu kazi hata apigwe kichapo vipi atatafuta la kujitetea tu🤣🤣
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 178,369 Reaction score 196,063 Mar 15, 2026 #4 Ngoja wanyoshane kidogo... Cc: Mahondaw
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 53,935 Reaction score 131,348 Mar 15, 2026 #5 Ukisoma mada za wafia USA/ Israel na wafia Iran humu unabaki kucheka tuu, kila mtu anavutia kwake 😂