usawa wa kulia
JF-Expert Member
- Sep 15, 2014
- 454
- 154
eti anaulizwa majina 5 ni yapi anasema atayataja kesho sanne, bila kujua kua kuna wajumbe mule ndani hawakuelewana, watatoa siri either wataambia ndugu zao au jamaa zao, mbona watu tumejua majina 5 toka jana tu kikao kilipomalizika basi hata hyo sanne usituambie tushajua
ni akina nani sasa?
mama amina, magufuli, membe, makamba,migiro
Mamvi wapi hadi huruma
subirini taarifa rasmi pengine tumetegwa tu ili waone mtazamo wa wananchi
l
Imekuchukuaje muda wote huu kulitambua hili kweli!? basi kubali kuwa wewe ndiye mjinga na shukuru Mungu umejifunza leo maana wengi hawajatambua hili!eti anaulizwa majina 5 ni yapi anasema atayataja kesho sanne, bila kujua kua kuna wajumbe mule ndani hawakuelewana, watatoa siri either wataambia ndugu zao au jamaa zao, mbona watu tumejua majina 5 toka jana tu kikao kilipomalizika basi hata hyo sanne usituambie tushajua