Kumbe kuna ndagu za utajiri rahisi na zisizoweza kudhuru mtu sharti ni kuwa na upendo kwa watu tu!

πŸ˜…πŸ˜…Haya mambo yana ujinga sana
 
Ni hatari sana. Tutafikaje kwa Mungu?
 
Duuh ngoja nikomae na umaskin kama ndo hiv!
 
Kuna kijana mmoja hpa mtaani kwetu alikua ananyoa Soloon ya kawaida kabisa

Gafla bin vuuu dogo mambo ylimnyookea...alinunu nyumba 2 hapo mtaani na akatoa pesa cash
Watu wakaanza kujiuliza kijana kaokota mawe nini mgodini..lakini Cha ajab mbona hajwahi kusafiri tupo nae hapa hapa..

Kumbe dogo alienda Kwa mtaalam akifukuriwa mtaro..pesa inaingia ......Yani akikukuta mtaani anaweza akakupa hta 500k umchezee tope...

Wazee wa kitaa wakamtimua kitaani ashv sijui yupo huko Dar...

NB: Tafuta pesa iliyo halal vijana acheni njia za mkato...
Tatizo la ushoga ni pana Sana....vijana fanyeni kazi acheni njia za mkato..
 
Kufukuliwa,
! Hadi lini?
 
Kuna mmoja utajiri wake ilikuwa ni kutembea na mke wa mtu na mwenye mke lazima ajue na jamaa analipa. Akisha lipa faini ya ugoni basi kibunda kinaingia kama chote. Siku akajichanganya wakamfumania wakamuua
 
Cha kufanya wewe usiende kwa huyo mganga wake kuchukua ndagu, cha kufanya hapo fata hayo mashart

Usimdhurumu mtu, saidia watu, usimwage damu ya mtu , kuwa mcheshi, usiwe mtu wa visasi yaani yale mazuri yote uliyoyataja hapo chini , ishi nayo Kwa mwaka mpaka miaka miwili alaf uje kutupa mrejesho

M/Mungu uwa anazawadi kwa watu wema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…