Serikalu ya awamu ya tano ni ya maajabu sana.Hivi unapopambana na rushwa kwanini serikali ihalalishe rushwa nyingine.suala la kutoa milioni kumi kumi kwa wabunge wa ccm na hazina kutoa pesa za ruzuku kinyemela kwa upande wa Lipumba hizi zote ni rushwa zilizohalalishwa na serikali.kwanini serikali haichukui hatua za kisheri katika tuhuma hizi .Huu ni ushahidi tosha kuwa serikali ya awamu hii ina rushwa halali na rushwa haramu.ukija kuangalia kwambali hizi tuhuma kwa serikali utaoona kwamba zilizo na maslahi kwa serikali magu anaziharamisha.