Kwa kawaida sipendi attention kwa mtu wangu
Nachukia ukiniambia
Nataka tuongee
Nikuambie kitu
Maana yake hujanichukulia kama mpz wako kwa kuwa huo usemi unaonyesha hauko huru Kwangu unawoga , naichukulia pia kunihamisha ktk Furaha yangu ya michezo ya mahaba
Teh