Kumbe Hitler alikuwa Mkatoliki?

Kumbe Hitler alikuwa Mkatoliki?

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
8,476
Reaction score
12,666
Adolf Hitler alizaliwa na kubatizwa katika Kanisa Katoliki la Roma. Alizaliwa mwaka 1889 katika Austria, nchi iliyokuwa na Wakatoliki wengi, na katika ujana wake alihesabiwa rasmi kama Mkatoliki.
Hata hivyo, akiwa mtu mzima, mtazamo wake kuhusu dini ulikuwa mgumu na wa kinzani:
Hakuwahi kujiondoa rasmi kwenye Kanisa Katoliki.
Hadharani, mara nyingi alitumia lugha na alama za Kikristo kwa sababu za kisiasa.
 
Pole Umelewa
 
Wewe ndo unalijua hilo leo?

By the way, sisi Wakatoliki wenzake hatukubaliani na maovu yake akiwa madarakani. Kama ni Udikteta tunamwita yeye ni Dikteta bila kupepesa macho. Hata Benito Mussolini, Jean Bedel Bokassa, na wengineo walikuwa Wakatoliki na hatuachi kuwasema kwa maovu yao.

Shida iko kwenu Kobaz. Yaani nyie hamkubali kwamba miongoni mwa Waumini wenzenu, wenye madaraka serikalini, kuna Madikteta. Akiguswa Idi Amin mnasema alichafuliwa, akiguswa Ghadaffi inakuwa ni njama za West, akiguswa Saddam Hussein ni yale yale. Swali, kwenu nyie ni Watakatifu wote?

Kama kuna mtu anabisha, ajaribu kufanya utafiti mdogo. Amwulize Mwislamu kama ni kweli secular leaders ambao ni Waumini wa dini ya Kiislamu na wanahusishwa na Udikteta kama ni kweli ni Madikteta? Utasikia jinsi anavyowatetea kwa mlengo wa kidini. Ila swali hilo hilo muulize Mkristo, hutashangaa akikiri na kuwataja Wakristo wenzake ambao ni Madikteta. Nyie Waislamu ni Watakatifu sana eeeh? Au ndo mambo ya Islamic brotherhood? Hakuna kukiri maovu ya Mwislamu mwenzako hadharani?
 
Adolf Hitler alizaliwa na kubatizwa katika Kanisa Katoliki la Roma. Alizaliwa mwaka 1889 katika Austria, nchi iliyokuwa na Wakatoliki wengi, na katika ujana wake alihesabiwa rasmi kama Mkatoliki.
Hata hivyo, akiwa mtu mzima, mtazamo wake kuhusu dini ulikuwa mgumu na wa kinzani:
Hakuwahi kujiondoa rasmi kwenye Kanisa Katoliki.
Hadharani, mara nyingi alitumia lugha na alama za Kikristo kwa sababu za kisiasa.
Hilter alikuwa Muislam kisiri siri. Alisilim na kutaka hata Wajeruman wote wawe Waislam maana aliona Wakristu wana upendo sana. Chuki dhidi ya Wayahudi alifundishwa na Waislam na aliyemfundisha ni jamaa alikuwa akiitwa Haj Amin Al hussein ambaye alidai yeye ni Mufti wa Yerusalem. Hapa chini nakuwekea picha yake Hitler na Haj Amin Al Husein wakioanga mipango ya kuua Wayahudi
Bundesarchiv_Bild_146-1987-004-09A,_Amin_al_Husseini_und_Adolf_Hitler.jpg

Haj Amin al-Husseini meeting with Adolf Hitler (28 November 1941).

Hilter alianzisha hata kikosi cha wanajeshi maalum wa nazi ambacho askari wote walikuwa Waislam
Bundesarchiv_Bild_146-1980-036-05,_Amin_al_Husseini_bei_bosnischen_SS-Freiwilligen.jpg

Haj Amin al-Husseini, alongside SS-Brigadeführer und Generalmajor der Waffen SS Karl-Gustav Sauberzweig, reviewing Bosnian SS volunteers during their training in November 1943

Soma kuhusu kikosi hicho hapa

Kama nilivyosema watafiti wengi wanakubaliana kuwa aliyemfundisha Hilter mpango wa kuua Wayahudi ni huyo Mufti wa Yerusalem akijulikana kwa jina la Hajj Amin Al Husein. Huyu ndiye haswa aliyempa Hitler mchongo wa kuua Wayahudi wote kwa kuwachoma kwenye matanuri ya moto. Ndiyo maana hadi akampa Hitler vijana wa Kiislam wamsaidie kuua Wayahudi

Msome zaidi hapa huyu Hajj Amin Al Husein

Mwaka 2015 Benjamin Netanyahu alikuwa na haya ya kusema hukusu uhusiano wa Hilter na Mufti wa Yerusalem Haj Amin Al Husein
Screenshot_20260103_210550_Chrome.jpg

Alichosema Netanyahu ndiyi ukweli japo Waislm hawakubali ili kulinda dini yao.
 
Adolf Hitler alizaliwa na kubatizwa katika Kanisa Katoliki la Roma. Alizaliwa mwaka 1889 katika Austria, nchi iliyokuwa na Wakatoliki wengi, na katika ujana wake alihesabiwa rasmi kama Mkatoliki.
Hata hivyo, akiwa mtu mzima, mtazamo wake kuhusu dini ulikuwa mgumu na wa kinzani:
Hakuwahi kujiondoa rasmi kwenye Kanisa Katoliki.
Hadharani, mara nyingi alitumia lugha na alama za Kikristo kwa sababu za kisiasa.
Ni bora maana hata wakristo walipinga udictator wake, angekuwa muisilamu angetetewa na waisilamu. Huko Iran kunaakaje, ni wakristo ndio wanaandamana?
 
Back
Top Bottom