Kumbe hata sisiem wenyewe walijua wameshindwa u mpaka mg wa kampeni alipowambia!!!???


ChescoMatunda

ChescoMatunda

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2009
Messages
1,189
Likes
67
Points
145
ChescoMatunda

ChescoMatunda

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2009
1,189 67 145
KWELI MWAKA HUU NIMESHUHUDIA MENGI YA KUSTAJAABISHA WANACHAMA WA SISIEM WALIKUWA WAMEJUA KUWA WAMESHINDWA VIBAYA UCHAGUZI HUU NA HIVYO WALIKUWA HAWASHEREKEI KABISA MPAKA MAMBO YALIVYOWEKWA SAWA NA YULE MENEJA WA KAMPENI NDO AKAJITOKEZA KWENYE VYOMBO VYA HABARI AKAWAMBIA WASHEREKEE MAANA WAMESHINDA KWA ASILIMIA 71% TENA ALITANGAZA KABLA TUME HAWAJAMALIZA KUTANGAZA MATOKEO YENEYEWE !!!!?? IMEKAAJE HIII???:thinking:
 

Forum statistics

Threads 1,205,263
Members 457,815
Posts 28,187,864