kilolambwani
JF-Expert Member
- Dec 3, 2010
- 395
- 75
Nchi ilipofikia sasa chini ya uongozi wa Kikwete, hata wanachama wa ccm hawataki hali hiyo. Ushahidi ni pale wilaya ya Hai iliyokuwa na madiwani 11 wa ccm na 11 wa chadema, halmashauri yake itaongozwa na chadema baada ya diwani mmoja wa ccm kuonyesha uzalendo na uchungu wa nchi yake na kuamua kuipigia kura chadema. Ushahidi wa pili ni diwani wa cc wa Arusha aliyetamka hadharani kuwa hakumpigia kura Kikwete. Nchi itakombolewa, YOTE YANAWEZEKANA
Mafarisayo walimuonya yesu na kumuambia 'waambie wafuasi wako waache kupiga kelel'e.lakini yesu akawajibu "wakiacha kupiga kelele hawa, hakika milima na mawe hayo yatapiga kelele na kushangilia"tanzania hivi sasa iko kwenye kipindi cha mpito toka uongozi mbovu kwenda uongozi ambao wananchi wanauhitaji (mabadiriko) kwa hivyo ukiona hadi wana ccm wenyewe wanaipinga na kuiponda ccm yao hadharani, basi ujue chama hicho kinaelekea kaburini.god has and shall always stand on the side of the opressed and downtroden segment of the society.
sema tu wale wakristo wanaosikia neno kanisani. kwa sababu haiingii akilini wewe unagombea na kushinda kwa chama hichohicho eti halafu useme hakifai. wakati upo kwa ajili ya kutekeleza sera za chama husika. kwa nini hawakuenda kugombea huko chadema? mimi nipo hapa somalia nasubiri mambo yaive huko ndo mtajua athari ya hayo mnayoyaendekeza.Nchi ilipofikia sasa chini ya uongozi wa Kikwete, hata wanachama wa ccm hawataki hali hiyo. Ushahidi ni pale wilaya ya Hai iliyokuwa na madiwani 11 wa ccm na 11 wa chadema, halmashauri yake itaongozwa na chadema baada ya diwani mmoja wa ccm kuonyesha uzalendo na uchungu wa nchi yake na kuamua kuipigia kura chadema. Ushahidi wa pili ni diwani wa cc wa Arusha aliyetamka hadharani kuwa hakumpigia kura Kikwete. Nchi itakombolewa, YOTE YANAWEZEKANA
sema tu wale wakristo wanaosikia neno kanisani. kwa sababu haiingii akilini wewe unagombea na kushinda kwa chama hichohicho eti halafu useme hakifai. wakati upo kwa ajili ya kutekeleza sera za chama husika. kwa nini hawakuenda kugombea huko chadema? mimi nipo hapa somalia nasubiri mambo yaive huko ndo mtajua athari ya hayo mnayoyaendekeza.
sema tu wale wakristo wanaosikia neno kanisani. kwa sababu haiingii akilini wewe unagombea na kushinda kwa chama hichohicho eti halafu useme hakifai. wakati upo kwa ajili ya kutekeleza sera za chama husika. kwa nini hawakuenda kugombea huko chadema? mimi nipo hapa somalia nasubiri mambo yaive huko ndo mtajua athari ya hayo mnayoyaendekeza.