Kumbe dodge challenger inanunulika tu

Hiv hiyo Dodge inaruhusiwa kutoka nje ya Marekani? Kuna kipindi niliwahi kusikia hizo gari pamoja na Impala(Yale yanayoinukaga au kubounce) ni marufuku kutoka nje ya Marekani.

Sijui kuna ukweli wowote hapo
Inaruhusiwa kabisa ziko nyingi ulaya
 
Inaruhusiwa kabisa ziko nyingi ulaya
ushauri wangu gari za ulaya na marekani mtanzania usinunue kama hutaki kupata ugonjwa wa moyo kwa ukosefu wa spare parts na mafundi ikiharibika na hata mafundi wakiwepo ni wachache mno na bei za spare zake utakufa ugonjwa wa moyo watanzania tununue gari za kijapani zina mafundi na spare parts kibao hata vijijini waweza pata fundi na spare parts ikikuharibikia.Kununua gari consider two main factors availability of spare parts na mafundi anywhere in the country utaishi maisha ya amani na gari yako na kujiepusha na maradhi ya pressure
 
Ila inatakiwa pia uwe na kiasi. Huwezi ukatoa tu dola laki saba kwagari haileti kabisa mantiki. Labda trekta basi lorry litakalozalisha mali

Mkuu anaenunua gari ya dola laki 7 maana yake ashazalisha mali tayari na anauwezo wa kununua hio dodge akawa nazo zote mbili... kwako hailet mantiki kwa kuwa hauna pesa!

Ni sawa na wewe hio simu unayotumia lets say ya laki 5 au 1m.. kwako ni kawaida ila kuna wenzio watasema hailet mantik kununua sim ya 1m badala ya kufungua genge la nyanya liingize pesa... au wakasema si bora angenunua hata tecno camon cx ya laki 2 mbona ina specs kali kuliko iphone 6 plus.

So kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake mkuu
 
Zitto naye aliwahi kuwa na Hammer mjini, sijui naye alishindwa gharama au fashion ilipita?!
 
Ku bounce kule ni madification ya mfumo wa suspension tu kuna kifaa kinatumia power ya umeme kwamba hata kwenye gari ya kijapan inaweza kufanya kazi, uimara tu wa hizo bamps tu
Hiv hiyo Dodge inaruhusiwa kutoka nje ya Marekani? Kuna kipindi niliwahi kusikia hizo gari pamoja na Impala(Yale yanayoinukaga au kubounce) ni marufuku kutoka nje ya Marekani.

Sijui kuna ukweli wowote hapo
 
Gari za marekani zipo nyingine za bei ya chini. Dodge challenger,hellcat, ford mustang ,charger. Nk zinaitwa muscle cars. Tatizo spare shida,engine zake ni kubwa unakuta cc 3500 , cc 4000 hadi cc 6000 , v12 engine, bi-turbo,gharama ya mafuta ni kubwa. Ila ukiwa na mashine kama hiyo ni balaa mjini.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…