Jamani naomba kuuliza maana kuuliza sio ujinga.
Dakika chache zilizopita chopa zinapishana hapa kwenye anga la Kahama zinaelekea kama Ushilombo hivi . Yani na ukubwa wangu wote sikuwai kufikilia kuwa chopa inaweza kupiga misele saa Saba na robo usiku tena sio moja. Mpaka Sasa hivi naogopa mwenzenu.