Anselm JF-Expert Member Joined Nov 16, 2010 Posts 1,710 Reaction score 291 May 21, 2012 #1 .....ana kiatu kikali hivi. Hapa alikuwa akimlilia Mshikaji wake Pat' Mutesa Mafisango,pole sana Boban,njia yetu sote ni 1,Pat' ametangulia tu,MUNGU aiweke roho yake mahali pema peponi - Amein.
.....ana kiatu kikali hivi. Hapa alikuwa akimlilia Mshikaji wake Pat' Mutesa Mafisango,pole sana Boban,njia yetu sote ni 1,Pat' ametangulia tu,MUNGU aiweke roho yake mahali pema peponi - Amein.