Mbnative JF-Expert Member Joined Oct 19, 2011 Posts 332 Reaction score 77 Mar 14, 2014 #1 Kama nakumbuka vizuri BOT walitoa nafasi mwisho mwaka jana,zilikuwa posts kibao lkn mpk leo sijabahatika kupata habari zozote kama watu walishachukua vitengo au la..nijuzen wadau km kuna mwenyekujua..
Kama nakumbuka vizuri BOT walitoa nafasi mwisho mwaka jana,zilikuwa posts kibao lkn mpk leo sijabahatika kupata habari zozote kama watu walishachukua vitengo au la..nijuzen wadau km kuna mwenyekujua..
B Benice Member Joined Sep 24, 2011 Posts 53 Reaction score 5 Mar 15, 2014 #2 We jifanye kama hukuomba kama junta lolote utasikia hapa
R rolla JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 2,274 Reaction score 1,214 Mar 15, 2014 #3 Baba yako nani pale?