Kulikoni Yusuf Manji?

Kwanini ulijilimbikizia madeni yote haya na huku ukimwaga mihela kibao kwa Yanga

Alaumiwe aliyepumzika sasa Chalinze kwa kumpa hicho Kiburi chote na ile jeuri yote aliyokuwa nayo Kipindi kile na sasa cha moto anakiona.
 
Manji akili mingi sana,huyo ni mfanyabiashara mkubwa sana anajua kucheza na akili za mabenki,hapa tutamwonea huruma kumbe kashamaliza mchezoooo Long Time
 
Yeah jamaa wanapiga sana hizo mambo ..wahindi ni watu noma Sana .. wana anzisha kiwanda uchwara au wana nunua hekta kibao za mashamba kisha wanakwenda bank kuchukua mkopo wa kufa mtu " kisha mradi wanaususa " bank wakija wanauza shamba au kiwanda " wakati huo muhindi anakuwa ameshapiga pesa kibao za mkopo na ku-invest kwengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilisikia anahamishia biashara Zambia kumbe ilikua janja yake awakimbie bank.
#SIONGEI NA MBWA BALI MFUGAJI

Hili neno angeliongea mweusi mwenzetu naamini Magu angepotezea tu wala asingemsumbua kiasi hicho, but kwakuwa mweupe atambinya mpaka mapumbu
 
Mara nyingi sana wajanja huwa wanafanya hivi ... hata sisi hii mbinu tuliwahi kuitumia " nina rafiki yangu alikuwa anataka kuuza nyumba yao ya urithi magomeni mwaka 2013 ilikuwa inauzwa ml.200 tukamshauri twende bank tukaichukulie mkopo wa ml350 bank huwa wana watuma ma-officer wao kufanya utafiti kama nyumba ina kidhi kiwango cha huo mkopo...

Hapo kati na ma-officers nao wanaongeza 0 0 zao wanawambia kuwa uambieni uongozi kuwa mnataka ml400 maana hii nyumba ipo sehemu nzuri mnaweza kuichukulia mkopo hata wa ml450 ...so inapotokea mkapewa huo mkopo wao wanachukua ml50 then nyie mnachukua ml350 zenu ...
Baada ya hapo marejesho hamuwapelekei wala nini mnawaachia nyumba yao (hahaa )

Mjini kuna visa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…