Mbasembase1970
JF-Expert Member
- Jun 11, 2015
- 6,056
- 4,608
Hupati mtu hapo???????????Ngoja waje mkuu.
Kwanini ulijilimbikizia madeni yote haya na huku ukimwaga mihela kibao kwa Yanga
Kwanini mkuu?Hii thread kuna watu wataiangalia kwa mbali kama wanaaga mwili wa marehemu!!!
Mwenyekiti!! Mbona walipita wengi hawakumwaga kama yeye. Ananikumbusha yule mzee wa Simba aliporudi kutoka Arabuni akaja na gear ya kudhamini Simba mwishowe mpaka guest house zake na magari miguu juu. Chezea Yanga na Simba wewe
Mkuu unafikiri angehama na Jengo kwenda Zambia? Unafikiri kwa Tanzania ya leo akiamua kuuza atarudisha pesa yake? Ametumia njia nzuri sana kuhama, kopa pesa yenye value zaidi ya jengo kawekeze kwingine bank ndio ihangaike na mnunuzi. Wabongo bado sana kwenye hii michezo.Nilisikia anahamishia biashara Zambia kumbe ilikua janja yake awakimbie bank.
#SIONGEI NA MBWA BALI MFUGAJI
Mkuu jua kwamba jamaa hana deni kakwepa tu Usumbufu wa TRA kuhamisha capital yake.Sifa ya kuitwa tajiri ni wewe kumiliki pesa nyingi na pia uwe na madeni makubwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini ulijilimbikizia madeni yote haya na huku ukimwaga mihela kibao kwa Yanga