Kishongo JF-Expert Member Joined May 4, 2010 Posts 932 Reaction score 67 Nov 8, 2011 #1 Ndugu wana-Arusha wenzangu, Usiku wa jana mitaa mingi ya jiji letu ilikuwa shwaari bila bughudha za vibaka. Watu walioanika nguo nje wamezikuta asubuhi. Kulikoni? Au ni kwa sababu ya ujio wa Mtoto wa Malkia?
Ndugu wana-Arusha wenzangu, Usiku wa jana mitaa mingi ya jiji letu ilikuwa shwaari bila bughudha za vibaka. Watu walioanika nguo nje wamezikuta asubuhi. Kulikoni? Au ni kwa sababu ya ujio wa Mtoto wa Malkia?