Kulikoni Uongozi wa CHADEMA wilayani Temeke

Kulikoni Uongozi wa CHADEMA wilayani Temeke

MTA1

Member
Joined
Jun 1, 2013
Posts
89
Reaction score
11
Siku zote najiuliza kuna nini kimeukumba uongozi wa Chadema wilaya ya Temeke; hawafanyi mikutano, huwa wanaonekana wakati wa chaguzi tu. Wamesahau mwaka huu kuna kupiga jalamba uchaguzi wa serikali za mitaa na mwakani uchaguzi mkuu!

Iwapo Chadema inataka kuchukua viti vya uongozi ngazi ya mitaa na udiwani wilayani Temeke, sasa ni kipindi muafaka kujieneza maeneo yote ndani ya Manispaa ya Temeke. AMKENI VIONGOZI, hata ofisi yenu iliyoko mkabala na Kisuma Bar, Mwembe Yanga huwa haifunguliwi KULIKONI???
 
Hembu nijulishe Yona aligombea nafasi yoyote ile?
 
Mbona mnahangaika sana nyie interahamwe? Uongozi mpya haujamaliza hata siku 3 mmeanza kulalamika nini? Tulia dawa ya ukombozi itakuingia tu kupitia makamanda wapya wanaojua wajibu wa kiongozi na si hao mamluki wachumia tumbo waliokuwepo
 
Back
Top Bottom