Kulikoni kihonda secondary-moro

bababikko

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
2,707
Reaction score
4,357
mbona mnawapiga wanafunzi kwa kosa la kuchelewa kulipa michango ya tuition wakati hawana kosa?kosa la mzazi hasira mnamalizia kwa wanafunzi ? basi muwaite wazazi wao muwapige
 
Katika hisia zako unahisi Mwl.Mkuu wa shule hiyo ataupitia pia uzi wako
 
Mzazi umepata hela ya kifurushi cha internet ila umekosa hela ya tuition ...

Wazazi kama nyie ndio tunawatafuta tunawachape viboko hadharani ..

Kalipe Ada ya tuition eboooooooooooooooo
Hahahaha wazazi wa kidigital eti hawataki stress
 
Wanafunzi wanatakiwa wamenyeke
Chapa hao ndio unavikuta vimevaa misulumbete vimetoka beach
Tia bakora sawasawa mpaka vijue hapo ni shule na sio kwa baba au bibi zao.
Kwanza wakati hata shule inajengwa hao baba zao hawakuleta tofali wala upinde au tochi kuja kulinda
Daah walimu hizi ndio biti zao ukisikia hayo maneno saikolojia yako inaharibika unaona kumbe dingi ndezi kwa hawa jamaaa eeeeh
 
Hiyo shule imejaa wahuni tu acha wape stick na wewe ulipaswa kupigwa
 
Ukikutana na mzaz anayelalamika kwa style yako au kuleta siasa ktk maswala ya nyeti kama ya elimu lazima uweke ????? (Question mark ) lazima atakuwa na agenda fln isiyo sahihi maana kwa mzazi anaejua wajibu na ahki yake ana njia nyingi za kufikisha malalamiko uake ktk mamlaka sahihi ikiwa ni pamoja na kufika shule kuuliza au kushauri jinsi gani swala lifanyike lkn kuja huku ambako hata uongozi wa shule hauwezi kufika kuona uzi wako ni ishara ya uoga na pia ni ishara ya kuwa connected na wanafunzi wahuni na wakosaji na kama kweli ni mzaz wa mwanafunzi wa hiyo shule basi nahc huyo mwanafunzi atakuwa mtu wa makosa makosa..
 
mkuu naona sijaeleweka vizuri.sina agenda yoyote ovu wala sina connection yoyote na wanafunzi wahuni kama wapo jaribuni kuelewa point yangu.kama mzazi ndiye anayelipa pesa ya tuition iweje mwanafunzi apigwe?hii siyo siasa kama unavyodhani nijaribu kusema ukweli na kama ni uongo si ukanushe tuu?
 
Kwani kusoma tuition lazima? Walimu wasitafute hela kilazima
 
Mie kuna mtoto aliwahi rudishwa nyumbani kisa hajalipa hela ya tuition. Nikamshika mkono tukaenda wote shuleni walimu wanabaki kujiuma uma. Tuition ni masomo ya ziada ya kumjenga mwanafunzi. Mzazi ana haki ya kumchagulia mwanae akafundishwe wapi.
Walimu wanatafuta pa kula nao
 
mbona mnawapiga wanafunzi kwa kosa la kuchelewa kulipa michango ya tuition wakati hawana kosa?kosa la mzazi hasira mnamalizia kwa wanafunzi ? basi muwaite wazazi wao muwapige
Pole sana mzazi.
Hii iliwahi nifanya nikamvizia mkuu Wa shule alokua akisoma mwanagu.... Nilimpa ya ugoko...[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Najua hawezi nisahau kwa lile rungu lililo pelekea akavunjika mguu na kisha niamuandikia barua ya onyo tena kwa kalam nyekundu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…