Kulikoni Abdallah bin Kleb

BBA

JF-Expert Member
May 27, 2012
319
74
Huyu bwana hayumo kwenye kamati alizoteua bwana Yusuph Manji. Au tetesi zilizosemwa kuwa huyu bwana anamchakachua bwana Manji fedha za usajili ndo zilizomfanya aondolewe kwenye kamati ya utendaji?

Itakua mdosi ameshtukukia kuwa bin kleb alikua anampiga chenga la macho hasa usajili wa okwi......
 
Kuwa kiongozi wa timu za tanzania unahitaji kutaahira fulani kichwani.

What do u get being just a leader in Yanga??
 
kuwa kiongozi wa timu za tanzania unahitaji kutaahira fulani kichwani.

What do u get being just a leader in yanga??

we acha uongo hakuna biashara laini kama kufanya na simba na yanga.unachota unavyotaka , angalia rage alivyong'ang'ania vile vile kanjibhai
 
Huyu bwana hayumo kwenye kamati alizoteua bwana Yusuph Manji. Au tetesi zilizosemwa kuwa huyu bwana anamchakachua bwana Manji fedha za usajili ndo zilizomfanya aondolewe kwenye kamati ya utendaji?

kuna pesa anaudai uongozi na wamemtolea nje nae kwa hasira akawauza kavumbagu na domayo chamazi complex.
 
Alishasema ameomba mweyewe ili ashugulikie biashara zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…