Kulala bungeni kwaanza, wiki moja tu...

Kwani ukijisikia usingizi hauruhusiwi kutoka,huyu si L.....................M..............wa viti maalum
Night alikuwa bize na ansadi za bunge no wonder akawa anasinzia
 
Back to human senses! Hilo la Mrema kidogo umepotoka. Ana matatizo ya ki-afya na huwa tunatoa pole badala ya kushangilia.

Kweli mkuu, i myself la Mrema inaniuma saana in one side ila nashindwa kujizuia kucheka i don't know why.. na sicheki kwa kushangilia ila yaani nina huruma sana + unintentional laugh at once, when i look the pic.
 
lala salama , afadhali Mrema anawadipu wapiga kura wake
 
Jimama la wapi hil?
Mapema namna hii?...Semina ni muhimu sana kwa hawa viumbe!
Hivi Bunge la Kenya mtu anaweza kupata amani ya kusinzia kiasi hicho?..
Halafu huyo jirani yake ananyonya kidole tu wala hamstui mwenzie kuwa anadhalilika mbele ya watanzania wote!
Shiiiit!
 
Kaaazi kweli kweli tupate jina lake basi na jimbo analotokea:tape::doh:
 
Na huu ni uchaguzi 2015 lakini still watu watawachagua hawa mapono!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…