KULA UYOGA KWA AFYA.

MzzBreezy

Member
Joined
Sep 9, 2016
Posts
34
Reaction score
32
Uyoga fresh unapatikana kwa bei ya 10,000 kwa kilo na unaletewa popote ulipo kwa Dar.

Faida za uyoga mwilini.
1. Uyoga ni chanzo kikubwa cha vitamin C, D na Potassium.

2. Uyoga unaondoa hatari ya kuwa na kansa kwa kuondoa na kupambana vianzilishi vya kansa za aina zote.

3. Uyoga husidia kuondoa lehemu iliyoko kwenye moyo hivyo kupambana na presha ya damu.

4. Uyoga hutibu na kuzuia matatizo ya figo na huimarisha mfumo wa fahamu.

Karibuni sana piga simu # 0786517320 uletewe uyoga.
 
Uyoga wako umeuvuna wapi?Ni wa kisasa au wa asili?unauzia mkoa gani?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…