Ninaomba kuuliza, eti ulaji wa udongo kwa wanawake kunaweza kusababisha bawasiri? Maana kuna dada angu analalamika kuwa anaona kama kinyama kidogo kimeota sehemu ya haja kubwa, nae ni mlaji mzuri wa udongo.
Ninaomba kuuliza ,eti ulaji wa udongo kwa wanawake kunaweza kusababisha bawasiri? Maana kuna dada angu analalamika kuwa anaona kama kinyama kidogo kimeota sehemu ya haja kubwa ,nae ni mlaji mzuri wa udongo
MAMBO YANAYOWEZA KUSABABISHA MTU KUPATA BAWASIRI
▶️ Uzito kupita kiasi(Overweight)
▶️ Ujauzito
▶️ Unywaji pombe
▶️ Kukaa sana sehemu ngumu
▶️ Kuingiliwa sehemu ya haja kubwa( tendo la ndoa kinyume).
▶️ Kujisaidia Choo Kigumu. Sababu za kujisaidia choo Kigumu ni:
-Vidonda vya TUMBO
-Ngiri/Hernia
-Ulaji duni
▶️ Kula sana nyama nyekundu
▶️ Presha ya kupanda
▶️ Kula sana pilipili
▶️ Kula udongo(Wajawazito na watoto wadogo.
Kwa matibabu ya Bawasiri bila upasuaji mawasiliano zaidi piga simu/massage