habari wakuu,
nina tatizo linanisumbua nimeona niliweke hapa jamvini mnisaidie.nina ujauzito wa wiki 10 sasa,tatizonililo nalo ni kusikia njaa kupita kiasi kila wakati.yaani nakula sasa ivi ikipita nusu saa ni njaa ya ajabu km sijala siku nzima,na huwa inaniletea kichefuchefu na kizunguzungu nisipopata chakula mda huo..nina wasiwasi na kiasi cha chakula nachokula kwa siku kwani najiona nagain weight fasta.Nisaidieni je kuna watu wanaopata tatizo km langu???na je litaisha lini??maana hata usiku lazma niamke mara 2 nitafute msosi,inanikera sana.
Asanteni kwa mawazo yenu