Kula godoro wakati wa tendo

Mi naona kuna haja ya kuchukua maamuzi magumu ya kumpiga plaster mdomoni.
 
Mi naona kuna haja ya kuchukua maamuzi magumu ya kumpiga plaster mdomoni.

Ukikosa sauti ya kuchombeza na kulalamika mechi inabore, inakuwa kama match ya Yanga na Zamalek uwanja wa jesh hakuna kumake noiz...
 
hahahaha..do people really do such kind of things...really?!?!!?!??!?!
 
Huhuhuhu kweli uswahilini kuna vituko
 
Kwa nini usingemuuliza???

Usimwache kama anasifa. Ila, badili style. Chuma mboga marufuku labda chooni tu ajishike na ndoo nayo iwe ya chuma. Chonde angalia mkono usiwe karibu na domo lake
 
Usimwache kama anasifa. Ila, badili style. Chuma mboga marufuku labda chooni tu ajishike na ndoo nayo iwe ya chuma. Chonde angalia mkono usiwe karibu na domo lake

Kweli we kiboko
 
Tengeneza kitanda na godoro kwa kutumia mabati tatizo likiendelea pata ushauri wa fundi welding.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…