Kula dinner na rais

Gefu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2010
Posts
6,929
Reaction score
2,567
Jana kwenye taarifa ya habari ya saa mbili usiku kupitia ITV nilisikia kwamba Mh. Rais amefurahuishwa na kazi ya uokoaji ilivyotekelezwa na akawaalika kupata chakula cha pamoja na woote waliohusika katika mchakato mzima wa uokoaji...
Nashauri wahusika wapewe nishani badala ya msosi..anyway, ngoja niandae pilipili kabisa....
 
Badala ya uimarishaji kikozi cha zimamoto ili kiweze kukabiliana na majanga,nyie mnakula pilau ikulu,haya sasa janga jingine arusha
 
Tatizo anawaza sana pilau
 
Badala ya uimarishaji kikozi cha zimamoto ili kiweze kukabiliana na majanga,nyie mnakula pilau ikulu,haya sasa janga jingine arusha

wewe mbulula kweli. ajali ya kuanguka kwa jengo inahusiana vipi na kikosi cha zimamoto? labda nilifikiri utashauri kiundwe kikosi maalum cha kushughulikia matukio kama hayo
 
Mambo mengine raisi awe anatumia akili hata kb 1 mbona anafanya ikulu sehemu rahisi rahisi tu ya kuingia mbona kuna watanzania wanafanya mambo makubwa kuliko hayo na hawaiti ikulu kuna wanaokoa watu waliofukiwa na vifusi arusha nao waje ikulu?na wale wa meli zanzibar nao mbona hakuwaita?
 
Kama serikali isipo jipanga,mwaka huu watu kibao wataenda kula ikulu,ila mwisho wasiku watu watachoka kufanya kazi za serikari ambazo zipo ofice ya waziri mkuu kitengo cha majanga,police na zimamoto na technician people
 
Hivi kutoa maiti kwenye vifusi ni kuokoa! Hapo wameokoa nini, wakati wapendwa wetu wamekwisha kutangilia mbele ya haki!
 
Ingawa sipendi itokee lakini itokee disaster moja kali ifagie Ikulu tu,hapo ndiyo serikali itathamini uhai wa watu wengine.
 
wewe mbulula kweli. ajali ya kuanguka kwa jengo inahusiana vipi na kikosi cha zimamoto? labda nilifikiri utashauri kiundwe kikosi maalum cha kushughulikia matukio kama hayo

mkuu!...hapa bongo kikosi cha zimamto kina jukumu la uokoaji pia. Naona kama vile wewe ndio umekurupuka
 
Badala ya uimarishaji kikozi cha zimamoto ili kiweze kukabiliana na majanga,nyie mnakula pilau ikulu,haya sasa janga jingine arusha

Juzi wakati anafungua mafunzo pale JKT Ruvu alisema, alikuwa ANAIBA SANA UBWABWA... so ni Presedaa Ubwabwa!
Kila kitu anawaza ubwabwa tu...
 
Wewe ndio mbulula Zimamoto ni jina tu kile ni kikosi cha uokoaji ila kwa kawaida majumbani janga linalo jitokeza mara kwa mara ni moto na Watanzania tunaishi kwa mazoea basi ikawa kawaida kuwaita Zimamoto ikazoeleka hivyo ikawa usiku ikawa mchana kila siku tunawaita hivyo.........


wewe mbulula kweli. ajali ya kuanguka kwa jengo inahusiana vipi na kikosi cha zimamoto? labda nilifikiri utashauri kiundwe kikosi maalum cha kushughulikia matukio kama hayo
 
Huyo mwenzenu kashosomewa itikafu na misikiti mitatu afe halafu mnataka kukaa nae karibu!!!!!!!!!
 
Hivi kutoa maiti kwenye vifusi ni kuokoa! Hapo wameokoa nini, wakati wapendwa wetu wamekwisha kutangilia mbele ya haki!
Mkuu, washauri ni kina Issa michuzi unategemea nini, Hongera Mnyika hakukosea kabisa kumwambia Umma na yeye mwenyewe ni Daifu,
 
... nina rafiki yangu dada yake anafanya kazi state house so kwenye sherehe za kuapishwa obama alienda,cha kushangaza kuna wamarekani flani pale mwenge walishangaa sana jamaa kuingia white house wakati wao wanaisikia kwenye redio tu ingawa ni nchi yao...
..napata picha unachokisema mkuu LENGIO
 
Last edited by a moderator:

..nadhani sasa ni rasmi wanaitwa JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI (kama sikosei), soon rais atatangaza safu ya uongozi wake kuanzia mkuu wa jeshi la zimamoto na makamishna...
 
Mkuu, washauri ni kina Issa michuzi unategemea nini, Hongera Mnyika hakukosea kabisa kumwambia Umma na yeye mwenyewe ni Daifu,

aaaah mkuu lengo ilikuwa kuokoa sema wakakuta wameshafariki,ila baadhi waliokolewa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…