Uwezo wa kulipa mkopo ninao kabsa Ila sifa za kupata mkopo bank SinaAndika mchanganuo wa biashara Kisha omba mkopo Benki kama una asset Hata kiwanja itakuwa rahisi. Pia unaweza ukatafuta duka Kubwa uwe unaenda kuchukua mzigo Kwa Mali kauli endapo watakuamini.
Kuomba mzigo nimejaribu maeneo baadhi Ila sijafanikishaAndika mchanganuo wa biashara Kisha omba mkopo Benki kama una asset Hata kiwanja itakuwa rahisi. Pia unaweza ukatafuta duka Kubwa uwe unaenda kuchukua mzigo Kwa Mali kauli endapo watakuamini.
Inabidi uwe na mdhamini anayeaminika na hao, hawawezi kukupa bila ya kukujua vizuriKuomba mzigo nimejaribu maeneo baadhi Ila sijafanikisha
Mimi nafanya biashara hiyo nilianza na mtaji mdg saana kama laki 3, Kwa sasa nina kijiofisi changu alhamdullah, Kamtaji kanakua kdg kdg. Japo naendelea kujifunza zaidi jinsi ya kutunza fedha za faida ili mtaji ukue.View attachment 2437572
🤣🤣🤣🤣🤣Kweli mwanzo mkuu kiongozi,hongera sana kwa kuthubutu maana kwenye biashara hakuna mtaji unaotosha,ila vijana wengi wanataka kuanza biashara na milioni 50 ,gari ya kuwapeleka dukani watasubiri sana [emoji28]na kuanza kuponda serikali
Safi sana kiongoziMimi nafanya biashara hiyo nilianza na mtaji mdg saana kama laki 3, Kwa sasa nina kijiofisi changu alhamdullah, Kamtaji kanakua kdg kdg. Japo naendelea kujifunza zaidi jinsi ya kutunza fedha za faida ili mtaji ukue.View attachment 2437572
Hongera sana mkuu.Mimi nafanya biashara hiyo nilianza na mtaji mdg saana kama laki 3, Kwa sasa nina kijiofisi changu alhamdullah, Kamtaji kanakua kdg kdg. Japo naendelea kujifunza zaidi jinsi ya kutunza fedha za faida ili mtaji ukue.View attachment 2437572
Nimetafakari laki3 frame ulilipiaje? mtaji wa operation ulikuaje yaan jaman tuweni wakweli ata kma ungepata frame kwa elanya chini 50k ni sawa na laki3 kwa miezi 6.. haya hiyo fram ulikuwa unaifanyia nini maana mtaji umelipa kodi..Mimi nafanya biashara hiyo nilianza na mtaji mdg saana kama laki 3, Kwa sasa nina kijiofisi changu alhamdullah, Kamtaji kanakua kdg kdg. Japo naendelea kujifunza zaidi jinsi ya kutunza fedha za faida ili mtaji ukue.View attachment 2437572