Ktk biashara yako nunua baiskeli fanya home delivery usingojee mtej afate bidhaa bali mpelekee bidhaa walau ya kuanzia sh.5000bure ktk mazingira yanayokuzungukaNaomba ushauri watanzania wenzangu Mimi.nafanya biashara ndogo ndogo. Kama kuuza matunda,mbogamboga,lakini mtaji wangu haukui naona kipato ninacho pata kinaishia kununulia vitu vya kigenge changu..naombeni ushauri nifanye nini ili niweze kuongeza uchumi wangu