Kuku weusi na mayai meusi

viumbe vyeusi huwa havipendwi, havivutii kabisa..
 
huyu kuku kabila lake ni................?
 
Tatizo mleta uzi kakurupuka, inadaiwa huyu kuku nyama yake inafaida sana kwetu (watu) pia anapatikana kwa wingi Indonesia na wanunuzi wakubwa nchi za Ulaya. Huyu Ni mweusi hadi nyama na mayai yake kama anavyoonekana ktk picha, anaitwa Hariri au Silk
Sasa nimekurupukaje hapa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…