Kuku weusi na mayai meusi

[emoji32] [emoji32] [emoji32] [emoji32] [emoji32] [emoji32]
 
Mkuu hiyo mbegu usiipoteze, fuga kwa wingi then kajenge genge la kuku karibu na makazi ya mganga. Mbona soon hao kuku watageka sukari na tz kwa sasa
 
Ninao hapo bongo, lakini wangu wanaitwa Silk nilitoa mayai Europe. Nyama ni tamu zaidi ya wakawaida.
 
sasa kizibo sijakupata vizuri. unauza, unaulizia au unatoa taarifa sijakusoma mkuu
 
Mkuu hiyo mbegu usiipoteze, fuga kwa wingi then kajenge genge la kuku karibu na makazi ya mganga. Mbona soon hao kuku watageka sukari na tz kwa sasa
Mganga hana uwezo wa kununua huyo kuku bei ya kuku mmoja Ni $ 2500
 
nini kinachowapa thamani sana till wauzwe kwa bei hiyo?
Tatizo mleta uzi kakurupuka, inadaiwa huyu kuku nyama yake inafaida sana kwetu (watu) pia anapatikana kwa wingi Indonesia na wanunuzi wakubwa nchi za Ulaya. Huyu Ni mweusi hadi nyama na mayai yake kama anavyoonekana ktk picha, anaitwa Hariri au Silk
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…