C Charliemic JF-Expert Member Joined Feb 17, 2019 Posts 604 Reaction score 979 Jun 27, 2021 #1 Wajuzi naomba mnisaidie, kuku wangu wanavimba macho! Yanafumba! Wanasinzia! Pia wanapata choo cha rangi ya kahawia! Niwape dawa ipi!? ======== Zaidi soma: Msaada: Kuku wangu wanavimba sehemu za usoni
Wajuzi naomba mnisaidie, kuku wangu wanavimba macho! Yanafumba! Wanasinzia! Pia wanapata choo cha rangi ya kahawia! Niwape dawa ipi!? ======== Zaidi soma: Msaada: Kuku wangu wanavimba sehemu za usoni
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,914 Reaction score 193,830 Jun 27, 2021 #2 Kuna uzi member mmoja alipewa muongozo... Msaada: Kuku wangu wanavimba sehemu za usoni Habari zenu wa jf, kuku wangu wamepatwa na ugonjwa nisiouelewa. Wanavimba sehemu za usoni. Msaada wenu wana jamii www.jamiiforums.com
Kuna uzi member mmoja alipewa muongozo... Msaada: Kuku wangu wanavimba sehemu za usoni Habari zenu wa jf, kuku wangu wamepatwa na ugonjwa nisiouelewa. Wanavimba sehemu za usoni. Msaada wenu wana jamii www.jamiiforums.com
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 53,689 Reaction score 99,440 Jun 27, 2021 #3 Watakuwa wambeya.Nakutania.Tafuta tiba bora mkuu.ππππ
ragin JF-Expert Member Joined Feb 9, 2015 Posts 7,391 Reaction score 9,383 Jun 27, 2021 #4 Itakuwa mdonde
Sirdirashy JF-Expert Member Joined Jan 26, 2014 Posts 3,252 Reaction score 3,073 Jun 30, 2021 #5 Ao Kuku itakuwa Wana asili ya Japan macho mvimbo.
B BRAND JF-Expert Member Joined Jun 2, 2013 Posts 296 Reaction score 260 Jun 30, 2021 #6 Charliemic said: Wajuzi naomba mnisaidie, kuku wangu wanavimba macho! Yanafumba! Wanasinzia! Pia wanapata choo cha rangi ya kahawia! Niwape dawa ipi!? ======== Zaidi soma: Msaada: Kuku wangu wanavimba sehemu za usoni Click to expand... Upungufu wa vitamin A husababisha kuku kuvimba macho lakini pia mafua makali husababisha kuku kuvimba macho!
Charliemic said: Wajuzi naomba mnisaidie, kuku wangu wanavimba macho! Yanafumba! Wanasinzia! Pia wanapata choo cha rangi ya kahawia! Niwape dawa ipi!? ======== Zaidi soma: Msaada: Kuku wangu wanavimba sehemu za usoni Click to expand... Upungufu wa vitamin A husababisha kuku kuvimba macho lakini pia mafua makali husababisha kuku kuvimba macho!
M mafarisayoo JF-Expert Member Joined Oct 7, 2016 Posts 1,342 Reaction score 970 Jul 3, 2021 #7 Kuku wangu wa kienyeji kaatamia mayai wiki mbili tu, halafu kaachana nayo. Tatizo nn?
Extrovert JF-Expert Member Joined Feb 29, 2016 Posts 72,397 Reaction score 191,509 Jul 3, 2021 #8 Wape pilipili kichaa na maji